Share

Rais Dr.Shein amesema hakuna tatizo la vikwazo vya biashara kati ya Zanzibar na bara.

Share This:

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dr Ali Mohamed Shein amesema hakuna tatizo la vikwazo vya biashara kati ya Zanzibar na bara kwa vile zote ni nchi moja.

Leave a Comment