Share

Rais Magufuli apewa tuzo mapambano dhidi ya Corona.

Share This:

#CoronaTanzania #TAG #Habari.

Rais Dkt.John Pombe Magufuli amekabidhiwa tuzo ya heshima na Askofu Mkuu wa Kanisa la TAG Barnabas Mtokambali, ikiwa ni kutambua ufanisi na umahiri wake katika kuliongoza Taifa dhidi ya mapambano ya Virusi vya Corona.

Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg

Leave a Comment