Share

RC KUNENGE ALIVYOMUAPISHA DC WA ILALA “SERIKALI NI MOJA, DSM HAKUNA MIGOGORO”

Share This:

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam *Mhe. Aboubakar Kunenge* amemuapisha Mkuu mpya wa Wilaya ya Ilala *Bw. Ng’wilabuzu Ndatwa Ludigija* alieteuliwa hivi karibuni na *Rais Dkt. John Magufuli* kuongoza Wilaya hiyo.

Akizungumza wakati wa hafla hiyo *RC Kunenge* amewaelekeza *Wakuu wa Wilaya* kuhakikisha wanasimamia ipasavyo suala zima la *ukusanyaji wa mapato* na matumizi ya *fedha za serikali* pamoja na kusimamia *suala la Mazingira.*

Leave a Comment