Share

RPC MWAKALUKWA AWALIPUA ASKARI POLISI “HAWA WANAPIGWA”

Share This:

Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora kamishna msaidizi wa Polisi Barnabas Mwakalukwa ameiomba mamlaka ya mawasiliano nchini kanda ya kati kutoa elimu ya udhibiti wamakosa ya mtandao kwa askari kwani na wao ni miongoni wa watumiaji wanaoandamwa na utapeli mtandaini

Akifungua mafunzo ya siku moja ya udhibiti wa makosa hayo kwa jeshi la Polisi mkoani hapo yalioendeshwa na TCRA amesema “Msije tu kuwajengea uelewa lakini bali na namna ya kujilinda maana hawa jamaa wanapigwa” Kamanda Mwakalukwa

Leave a Comment