Share

Ruvu Shooting Haina Mpango wa Kumtimua Kocha Wake

Share This:

Klabu ya soka ya Ruvu Shooting imesema kwamba haina mpango wa kumtimua kocha wake kufuatia timu hiyo kuandamwa na matokeo mabovu

Leave a Comment