Share

Serikali yatakiwa kujitegemea kibajeti ili kutekeleza miradi ya maendeleo.

Share This:

Kamati ya kudumu ya Bunge ya bajeti imeitaka serikali kujenga uwezo wa kujitegemea kibajeti ili kutekeleza miradi ya maendeleo kufuatia tathimini kuonyesha kutakuwa na upungufu wa mikopo yenye masharti nafuu pamoja na misaada ya kibajeti.

Leave a Comment