Share

SHILOLE NA SAFARI YA KUWA MBUNGE “IGUNGA WANALALAMIKA HALI MBAYA SANA”

Share This:

Msanii wa muziki na mjasiriamali, Shilole amefunguka kwa kudai kwamba anakwenda nyumbani kwao Igunga kwenda kugombea Ubunge baada ya Wananchi kulalamika hali ni mbaya.

Muimbaji huyo amedai akina mama wanalalamika hali mbaya kwa kuwa hawajawekewa mazingira mazuri na kufanya biashara na kujikwamua kiuchimi.

Leave a Comment