Share

”SIMBA WAMEBADILIKA MWADUI FC WAPAMBANE/ ALLIANCE NA MBAO FC”- Mchambuzi mkubwa Abbas Pira

Share This:

Mchambuzi wa soka Tanzania, Abbas Pira amejaribu kuichambua Simba SC katika michezo yake miwili iliyopita dhidi ya Mbao FC na ile ya Alliance FC namna walivyoweza kubadilika na kuwa bora tangu kutoka michuano ya Mapinduzi Cup. Pira amewataka Mwadui FC kupambana hasa ili kuwazuia Simba kutoondoka na ponti tatu

Leave a Comment