Share

SIRRO AZUNGUMZIA MATUKIO YA USAFIRISHAJI WA BINADAMU YANAVYOTESA “MATUKIO YA UGAIDI YAPO”

Share This:

Mkuu wa jeshi la polisi nchini Saimon Sirro amesema katika ukanda wa mashariki ya Afrikabado kuna matishio ya kiusalama ikiwemo masuala la usafirishaji wa ubinadamu pamoja na ugaidi ni makosa yanayowasaidia wahalifu wa kimataifa kupata fedha ili kuendelea kufanya matukio makubwa

Sirro ametoa kauli hiyo mkoani Arusha ikiwa zimebaki siku chache kabla yakukabidhiwa uenyekiti wa shirikisho la wakuu wa polisi mashariki mwa Afrika

Leave a Comment