Share

‘Street Changers:’ Afueni kwa watoto wanaorandranda mitaani Nairobi

Share This:

Juhudi za shirika la Street Changers ni kulenga kuwanusuru watoto wanaorandaranda mitaani kwa kukosa makao ya kudumu jijini Nairobi. Kwa ushirikiano na wadau wengine wanawaepusha watoto hao dhidi ya masaibu mengine yanayoweza kuwakuta. Mengi zaidi kwenye #Kurunzi

Leave a Comment