Share

Taasisi ya sekta binafsi yataka Japan kuhamasisha biashsra na uwekezaji kwa ubia na watanzania.

Share This:

Balozi wa Japan nchini Masaharu Yoshida amesema mazao yatokanayo na kilimo cha asili, hususan ya ufuta na korosho yana soko la uhakika nchini kwake, na kuwataka Watanzania kulichangamkia.

Leave a Comment