Share

TAKUKURU YAOKOA FEDHA ZA SACCOS YA WALIMU ZILIZOTAFUNWA NA VIONGOZI

Share This:

#millardayoUPDATES

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Tanga  imeokoa Sh Milioni 30.5 za SACCOS ya Walimu Korogwe zilizokuwa  zimefanyiwa ubadhirifu na baadhi ya waliokuwa viongozi wa SACCOS hiyo.

Leave a Comment