Share

“TAKWIMU ZA UPOTEVU WA CHAKULA NI KARIBU 30%, SERIKALI NA WADAU TUMALIZE TATIZO”- KATIBU MKUU KILIMO

Share This:

Tanzania imetajwa kupoteza asilimia 30 ya mazao ya chakula baada ya kuvunwa mashambani kutokana na changamoto mbalimbali za uhifadhi na uvunaji wa mazao hayo ikiwemo upungufu wa miundombinu ya uhifadhi wa mazao ambapo hali hiyo imewafanya wakulima kuingia hasara licha ya juhudi kubwa wanazozifanya za kuzalisha mazao ya chakula kwa wingi hapa nchini, hayo yamebainishwa leo kwenye Kongamano lilioandaliwa na ANSAF kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo, SUA, AGRA..

Leave a Comment