Share

Tanganyika yatimiza miaka 58, Wajerumani wakumbukwa

Share This:

Wakati Tanganyika (sasa Tanzania Bara) ikiadhimisha miaka 58 ya uhuru wake kutoka kwa Muingereza, kumbukumbu za wengi kuhusu alama alizowacha ukoloni zinarejea kwa utawala wa Kijerumani uliokuwapo kabla ya Muingereza. Kwa nini ikawa hivyo? Angalia vidio ya Yakoub Talib. Kurunzi 09.12.2019.

Leave a Comment