Share

“TANGU UHURU HAKUNA SHULE HAPA, MIGOGORO TU ! NAMSHUKURU RAIS” OLE NASHA

Share This:

Naibu waziri Elimu Sayansi na Teknolojia amefika katika kata ya Laitoli wilayani Ngorongoro nakukuta ujenzi wa shule ya Wasichana Esere ukiwa unaendelea na hii ni baada yakuwa na mgogoro wa uhifadhi muda mrefu nakupelekea Waziri mkuu Kassim Majaliwa pamoja na waziri wa Maliasili na utalii kuingilia kati nakufanikisha suala hilo

Imeelezwa kwamba tang uhuru hapajawai kuwa na Shule ya wasichana katika wilaya hiyo huku mbunge wa jimbo hilo William Ole Nasha akimshukuru Rais kwa kutoa million 288 kwa ajili ya ujenzi huo

Leave a Comment