Share

Tanzania na kitisho cha Ebola

Share This:

Tanzania ipo imejiandaa katika kukabiliana na ugonjwa wa Ebola. Je raia wake wanaufahamu wa kutosha katika kujinusuru na ugonjwa huo ambao umeuwa idadi kubwa ya watu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo?

Leave a Comment