Share

TANZANIA YAFANIKIWA KUPUNGUZA UMASKINI

Share This:

Leo umefanyika uzinduzi wa ripoti ya tathmini ya hali ya umaskini Tanzania bara ambapo imeelezwa kuwa Tanzania imefanikiwa kupunguza kwa kiasi kikubwa tatizo la umaskini kutoka asilimia 28.2 mwaka 2012 hadi kufikia asilimia 26.4 mwaka 2018. Mkurugenzi Mkuu Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dk. Albina Chuwa amesema matokeo ya kupungua kwa umaskini yametokana na ongezeko la ubora wa elimu, huduma za kijamii, umiliki wa mali, ukuaji wa kilimo na ukuaji wa viwanda.

Leave a Comment