Share

TCU YAFUTA USAJILI WA BAADHI YA VYUO VIKUU NCHINI

Share This:

Tume ya vyuo vikuu nchini TCU imefuta hati za usajili za vyuo vikuu vitatu na chuo kikuu kishiriki kimoja baada ya kujiridhisha kuwa vyuo hivyo havina uwezo wa kujiendesha hata vikipewa muda zaidi.
Vyuo hivyo ni Chuo kikuu kishiriki cha Josiah Kibira (JOKUCo), Chuo Kikuu cha mlima Meru (MMU), Chuo Kikuu cha kimataifa cha Tiba na Tecknolojia (IMTU), Chuo Kikuu cha Bagamoyo (UoB)

Leave a Comment