Share

Tshabalala aachana na uhalifu na kuchangia katika maendeleo

Share This:

Sihle Tshabalala alifungwa miaka 11 gerezani baada kupatikana na kosa la ukabaji. Wakati akitumikia kifungo chake gerezani alijifunza mafunzo ya kompyuta. Baadae akaanza kuwafunza wafungwa wenzake na kuendelea baada ya kutoka gerezani.

Leave a Comment