Share

Tume ya Uchaguzi Tanzania NEC yakanusha uwepo wa vituo hewa vya kupigia kura:Dira ya Dunia 26 Oktoba

Share This:

Unasikiliza matangazo ya Dira ya Dunia kutoka idhaa kiswahili ya BBC 26/10/2020
Katika Dira ya Dunia 26 Oktoba 2020
• Kampeini zakamilika rasmi visiwani Zanzibar, huku upigaji kura visiwani humo ukitarajiwa kuanza Jumanne 27 Oktoba
• Ikiwa imebaki siku moja kuelekea Uchaguzi mkuu nchini Tanzania, Tume ya Uchaguzi NEC imekanusha taarifa kwamba kuna vituo hewa vya kupigia kura.
• Rais Uhuru Kenyatta na kiongozi wa upinzani Raila Odinga wazindua rasmi ripoti ya maridhiano ya kitaifa al maarufu BBI,wakiinadi kuwa muongozo wa kupatikana amani ya kudumu Kenya
• Mazungumzo kati ya Ethiopia, Sudan na Misri Kuhusu matumizi ya maji ya mto Nile yanatarajiwa kuanza tena
Ungana nami Caro Robi na Lynace Mwashighadi kuanzia saa kumi na mbili unusu leo jioni
#UchaguziTanzania2020
#Tanzania
#DirayaDunia

Leave a Comment