Share

Tundu Lissu apinga matokeo ya uchaguzi wa urais Tanzania

Share This:

Leo katika Dira ya Dunia 29 Oktoba 2020
• Mgombea urais wa upinzani nchini Tanzania Tundu Lissu apinga matokeo ya uchaguzi wa urais ulioafanywa jana.
• Tume ya Uchaguzi nchini Tanzania yakana madai ya wizi wa kura.
• Mgombea mkuu wa urais kwa tiketi ya ACT WAZALENDO Visiwani
Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akamatwa tena na polisi. Kisa?
• Na Kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe na mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe wapoteza viti vyao vya ubunge.
Ni Regina Mziwanda nikiwa na Roncliffe Odit

#DirayaDunia
#TunduLissu
#MatokeoyauchaguziTanzania

Leave a Comment