Share

Ubunifu wa mavazi Tanzania

Share This:

Wanamitindo mbalimbali nchini Tanzania wako mbioni kukuza ubunifu wao kama ambavyo Ahmad Juma anavyoangazia kwenye vidio hii ya #Kurunzi. Je wewe unafurahishwa na ubunifu wa wanamitindo nchini mwako? Ni mambo gani ungependa yaimarishwe zaidi kuongeza nakshi? Tuambie kwenye sehemu ya maoni hapo chini.

Leave a Comment