Share

Uchaguzi Uganda 2021: Yoweri Museveni akabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa Bobi Wine

Share This:

Katika uchaguzi huo rais Yoweri Museveni ambaye anatetea wadhfa wake anakabilia na upinzani mkali kutoka kwa mwanamuziki wa zamani maarufu Bobi Wine.

Bobi Wine ni mgombea ambaye amevutia idadai kubwa ya vijana nchini humo.

Rais Museveni anagombea muhula wa sita baada ya kuwa madarakani kwa miaka 35.

Leave a Comment