Share

Ugawaji wa chanjo ya corona na changamoto zake

Share This:

Licha ya kuwa chanjo ya corona imepatikana, bado kuna kazi kubwa katika kuhakikisha chanjo hiyo inamfikia kila mtu. Kila nchi ina utaratibu wake wa kutoa chanjo hiyo. Nchi nyingi za Afrika zinakabiliwa na changamoto kubwa zaidi zikisubiri mpango maalumu wa shirika la afya duniani WHO kugawa chanjo hizo kwa usawa. Kurunzi Afya. 11.01.2021

Leave a Comment