Share

Ukataji wa miembe unavyotishia tabianchi Pemba

Share This:

Baada ya kukata miti aina nyingine pasina kupanda mingine, wakaazi wa kisiwani Pemba sasa wamegeukia miembe, hali inayotishia kusababisha madhara makubwa ya kimazingira. #Kurunzi 24.09.2020.

Leave a Comment