Share

“UKISUBIRI VYA BURE VINA MADHARA, TUNGEENDELEA NA MAWAZO HAYA TUNGESUBIRI MIAKA 100” -JPM

Share This:

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombo Magufuli ameweka Jiwe la Msingi miradi ya Ujenzi wa Meli Mpya , Chelezo na Ukarabati wa M.V Victoria na M.V Butiama katika Ziwa Victoria Jijini Mwanza. Sherehe zimefanyika Katika Bandari ya Igogo Jijini Mwanza.

Leave a Comment