Share

Urithi wa muziki katika mji wa Bamako

Share This:

Mji mkuu wa Mali Bamako, una urithi mkubwa wa muziki. Tunakutana na mwanamuziki wa kufoka Master Soumy anayetupeleka katika ziara ya mji huu. Ungana nasi tuufahamu japo kidogo mji wa Bamako.

Leave a Comment