Share

Vibonzo vya Nigeria vyapata umaarufu

Share This:

Burudani barani Afrika imekuwa ikiwavutia mashabiki kutoka kila pande ya dunia. Sekta ya filamu ya Nigeria maarufu kama Nollywood ni ya pili kwa uzalishaji duniani kote, ambapo kila wiki filamu 50 huzalishwa. Na hivi sasa vibonzo vimeanza kushika kasi, je hii ni sekta inayofuata katika burudani?

Leave a Comment