Share

Vijana hutumia vipi mitandao ya kijamii kujiingizia kipato?

Share This:

Je wewe ni kijana unayetumia mitandao ya kijamii? Je unatumia kibiashara au pia kama ajira ili kujiingizia kipato, ama unatumia tu kupata habari, burudani kuwasiliana nk? Kurunzi Mubashara inajadili suala la kutumia mitandao ya kijamii kujiingizia kipato. Studioni ni John Juma akimshirikisha mwanadada Janet Machuka kutoka Nairobi Kenya ambaye ni mshauri wa masuala ya biashara katika mitandao ya kijamii.

Leave a Comment