Share

Vijana wapiga doria Gambia

Share This:

Kudorora kwa hali ya usalama ni jambo lililowapelekea vijana nchini Gambia kuchukua sheria mikononi mwao na kuanzisha makundi ya kupiga doria kwa ajili ya kulinda usalama. Je, wewe mtaani kwako hali ikoje na unafikiri hatua hii ni nzuri au inaashiria kufeli kwa idara ya usalama nchini humo?

Leave a Comment