Share

Waalimu watatu wauawa Kenya

Share This:

Walimu watatu wameuawa katika eneo la Kamuthe huko Garisa mjini Nairobi nchini Kenya baada wanamgambo wa jihadi kuishambulia shule na kumteka mwalimu mmoja leo jumatatu

Leave a Comment