Share

Waangalizi wa uchaguzi wa Afrika Mashariki waanza rasmi kazi yao Tanzania

Share This:

Waangalizi 59 wa Uchaguzi mkuu nchini Tanzania kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki wameanza rasmi kazi yao ya katika maeneo ya Dar es salaam, Tanga, Unguja, Pemba, Lindi Mtwara,Dodoma, Mbeya, Singida, Kigoma, Kilimanjaro Morogoro na Mwanza.
Ujumbe huu wa waangalizi utatoa taarifa yake baada ya kukamilika kwa zoezi la uchaguzi.
#bbcswahili #tanzania #uchaguzitanzania2020

Leave a Comment