Share

Waendesha bodaboda waanzisha ligi ya soka Tanzania

Share This:

Wao ni waendesha bodaboda mkoani Mtwara Tanzania. Lakini pia wameamua kuanzisha ligi ya bodaboda ili kucheza soka. Lengo lao ni kutumia mchezo wa soka kujiendeleza zaidi na pia kukuza vipaji vyao. Salma Mkalibala anasimulia zaidi kwenye vidio hii ya #Kurunzi

Leave a Comment