Share

Walichokizungumza TFF kuhusu TRA kuzifunga ofisi zao

Share This:

Moja kati ya stori zilizo trend jana March 15 katika soka ni pamoja na hii ya ofisi za makao makuu ya shirikisho la soka Tanzania TFF kufungwa na Yono kwa agizo la mamlaka ya mapato Tanzania TRA. YONO ambao ni madalali wa mahakama na mawakala wa TRA walizifunga ofisi za TFF na kuagiza maafisa wote watoke nje huku wakiruhusiwa kubaki eneo hilo walinzi na gari binafsi zilizokuwa katika eneo hilo kutolewa nje kutokana na TFF kudai malimbikizo ya kodi na TRA.

Leave a Comment