Share

Waliopandikizwa visikivu Muhimbili kuwasiliana bila shida.

Share This:

#DSM
#ITVHABARI

. WATOTO WANANE NA MTU MZIMA MMOJA WAMEWASHIWA MASHINE ZA USIKIVU WALIZOWEKEWA MWEZI MMOJA ULIOPITA KATIKA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI KWA GHARAMA ZA SERIKALI AMBAPO KABLA WAHITAJI WA HUDUMA HIYO WALITAKIWA KULIPA TAKRIBANI MILIONI MIA MOJA KUPATA HUDUMA HIYO.

Leave a Comment