Share

Wanafunzi wa NIT wazimia wakiuaga mwili wa mwenzao ‘AKWILINA’

Share This:

HABARIWatanzania wafurika kuuaga mwili wa ‘Akwilina Akwilini’ jijini Dar es salaam (+Picha) By Godfrey Mgallah | February 22, 2018 – 12:53 pm SHARE TWEET SHARE SHARE 0 COMMENTS

Mamia ya Watanzania wamefurika kwenye viwanja vya Chuo cha Usafirishaji (NIT) Mabibo jijini Dar es salaam kuuaga mwili wa aliyekuwa mwanafunzi wa chuo hicho, Akwelina Akwelini ambaye aliuawa kwa kupigwa risasi Ijumaa ya wiki iliyopita kwenye maandamano ya CHADEMA.

Leave a Comment