Share

Wanafunzi wengine wawili wahusishwa kesi ya mauaji Katoro.

Share This:

#KAGERA
#MAUAJI

JESHI LA POLISI LIMEWAFIKISHA MAHAKAMANI WANAFUNZI WENGINE WAWILI WA SHULE YA SEKONDARI YA KIISLAMU YA KATORO ILIYOKO KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUKOBA MKOANI KAGERA NA KUWAUNGANISHA KATIKA KESI YA MAUAJI YA KIKATILI YA ALIYEKUWA MWANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE KATIKA SHULE HIYO, MUDDY MSWADIKO SAID MWENYE UMRI WA MIAKA 19.

Leave a Comment