Share

Wananchi wapanda mikoko Mtwara kunusuru makazi

Share This:

Moja ya faida za mikoko, mimea inayoota baharini ni kupunguza kasi ya mawimbi makubwa ya bahari ambayo yangeweza kusababisha uharibifu. Kutana hapa na wakazi takribani 200 wa kisiwa cha Msangamkuu huko Mtwara Tanzania, wanaojitolea kupanda miti hiyo kandokando ya bahari ili kukinusuru kijiji chao kumezwa na maji ya bahari. Video na Salma Mkalibala, Kurunzi, 11.01.2021

Leave a Comment