Share

Wanawake waonyesha njia ya kuimarisha ujenzi

Share This:

Hali ya ujenzi nchini Kenya inabadilika. Jewel Kiriungi anaangazia wafanyabiashara wa kike ambao wamejitosa katika sekta hii na wanaendesha biashara zenye tija.

Leave a Comment