Share

Wasikilize hawa wakaazi wa Kigoma Tanzania walivyolijibu swali kuhusu ‘dinner’

Share This:

‘Dinner’ ni neno la Kiingereza lenye maana ya chakula cha jioni. Lakini Masanja alipouliza swali kuwa utafanya nini ukimkuta binti wa nyumbani kampa mwanao ‘dinner’ alipewa majibu ya kuchekesha. Hebu jionee mwenyewe kwenye vidio hii ya DW Kiulizo.

Leave a Comment