Share

Watafiti wa mazao ya mafuta wamekuja na njia ambazo zitaongeza uzalishaji

Share This:

Watafiti wa mazao ya mbegu za mafuta march 15 2017 wamekutana na kujadili kuhusu mbegu ambayo itakua na msaada kwa wakulima hasa mbegu ambazo azipokei magonjwa sana na ambazo zinatoa mafuta mengi zaidi. Zao la arizeti ni zao ambalo linaiweka nchi yetu kuwa ya kumi katika nchi ambazo zinazalisha zaidi zao hilo la mafuta Duniani.

Leave a Comment