Share

Watoto njiti

Share This:

Je, unalijua tatizo la watoto njiti au watoto wanaozaliwa kabla ya muda? Mwanadada huyu kutoka Tanzania, ana wakfu unaosaidia kupambana na tatizo hilo. Tazama video hii iliyoandaliwa na Yakub Talib.

Leave a Comment