Share

Watoto wa H-Town Nairobi wakiuimba wimbo Suzanna wao @Sauti Sol

Share This:

Kutana na watoto wanaojiita H-Town Kids kutoka Huruma mjini Nairobi Kenya. Kundi hili linaendelea kujizolea sifa tele kutokana na vidio zao. Hii hapa ni vidio yao kuhusu wimbo wa bendi ya Sauti Sol Suzzana. Hebu tizama @Sauti Sol .

Leave a Comment