Share

WATU 150 KUZUNGUKA NCHI ZOTE AFRIKA MASHARIKI KWA BAISKELI, TUTAPITA KOTE

Share This:

Watu zaidi ya 150 watazunguka kwa baiskeli katika nchi zote za Afrika Mashariki “Umoja wetu, amani yetu, maendeleo yetu hii ndio kauli mbiu yetu kwa mwaka huu, tutaanzia Tanzanaia, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi halafu tutatokea Kigoma”

Leave a Comment