Share

WAZIRI KALEMANI ASIMAMISHWA NA WANANCHI MPAKANI MWA TANZANIA NA RWANDA, ATOA MAAGIZO KWA UKALI

Share This:

Waziri wa Nishati Dkt.Medard Kalemani amefanya ziara Mkoani Kagera eneo la Rusumo mpakani mwa Tanzania na Rwanda akiwa na mawaziri wawili wa Nishati kwa nchi ya Rwanda na Burundi kwa ajili ya kukagua maendeleo ya mradi wa umeme wa maporomoko ya maji Rusumo,akiwa katika ziara hiyo amesimamishwa na wananchi ambao wametoa malalamiko yao na akayatolea ufafanuzi.

Leave a Comment