Share

WAZIRI MPINA “NIMETEMBELEA SOKO LA FELI NILITAKA KULIA BADO WANAVUNA VIFARANGA, NIMETUMA WATU WANGU”

Share This:

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina amefika kwenye Soko la Samaki Deep Sea Tanga na kununua samaki mkubwa na kuwagawaga kwa wananchi.

Leave a Comment