Share

Wema Sepetu akitumua mbio mahakamani baada ya kuachiwa

Share This:

Wema Sepetu(30) ameonywa kutokiuka masharti ya dhamana, vinginevyo Mahakama itamfutia dhamana. Wema alikuwa rumande siku 7 hadi leo kutokana na kushindwa kufika Mahakamani bila taarifa

Leave a Comment