Share

Wito watolewa mkasa wa moto katika. chuo cha Makerere uchunguzwe

Share This:

Hisia mseto zaziti kutolewa kufuatia mkasa wa moto ulioteketeza sehemu ya chuo kikuu cha Makerere nchini Uganda. Wito zaidi unatolewa kutaka uchunguzi ufanywe kubaini chanzo cha moto huo.

Leave a Comment