Share

Zanzibar kuyapatia thamani zao la bahari kuimarisha uchumi wa baharini

Share This:

Serikali ya awamu ya nne visiwani Zanzibar imeazimia kuleta mageuzi ya kiuchumi kisiwani humo kupitia matumizi sahihi ya bahari.

Ikiwa ni zaidi ya siku 100 toka kuingia kwake madarakani Rais wa Zanzibar Dokta Hussein Mwinyi anasema ni wakati wa kutafuta vyanzo mbadala vya kuichumi hasa katika nyakati hizi ambapo dunia ina pambana na virusi vya corona.

#zanzibar
#uchumiwamajini
#Maalimseif

Leave a Comment