Share

Zanzibar: Mafunzo ya uogeleaji kwa wasichana

Share This:

Je wajua kuogelea? Je utamaduni wako unawaruhusu na kuwawezesha wasichana kuogelea? Kutana na binti anayewafundisha wasichana wengine mbinu za kuogelea Zanzibar.

Leave a Comment